Dr  Casta Tungaraza na Waziri Castrilli akiwa anapokea Multicultural-Community-Service-Award 
Wiki moja tu baada ya kuingizwa katika Women's Hall of Fame ya Western Australia Dr Casta Tungaraza (Mtanzania ) amepewa nishani nyingine hapa Perth. Ametunukiwa nishani ya kuwa mdau bora katika kuendeleza harakati za Jamii-kimataifa. Jisomee mwenyewe katika URL hii hapa chini:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. well done girl! she is not bad looking either.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...