Prof Julius Nyang'oro wa Chuo Kikuu cha Carolina ya Kasikazini Nchini Marekani ataongea na Vijimambo akitueleza historia yake kwa ufupi na kitabu cha "WASIFU WA JK" kwanini amemchagua Rais Kikwete badala ya Marais waliopita na ukitaka kujiunga na vyuo vya Marekani kwa Ada nafuu unatakiwa ufanye nini!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Unashaurije watu waruji nyumbani wakati wewe mwenyewe umepotelea nje?

    Madai yako kwamba hukuandika kitabu cha Rais Mwinyi, kwa mfano, kwa sababu hukuwepo wakati anaingia mpaka anatoka haya make sense, kwani sasa hivi upo?

    Mtu hajawahi kuishi nchini hata siku moja maisha yake yote ukubwani anatuandikia kitabu cha Rais, siasa na historia ya nchi, hajui chochote, ndio maana unaona anamfagilia fagilia JK mwanzo mwisho.

    Tena ana bahati anahojiwa na mwandishi wa kibongo, ambae hajui kuuliza ya upande wa pili wa shilingi ya JK, angekuwa mwandishi wa huko Marekani angemgeuzi kibao hata yeye mwenyewe aeleze kuhusu timbwili lake la kashfa ilofanya mpaka afukuzwe ukuu wa kitengo hapo Chapel Hill.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...