Naibu Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya NHIF Bw Hamisi Mdee akimkabidhi mmoja wa viongozi wa kikundi cha waendesha pikipiki wa bodaboda cha (Yeboyebo) cha manispaa ya Songea jaketi la usalama barabarani litalalowawezesha watumiaji wengine wa barabara kuona kirahisi wawapo barabarani. Hafla hiyo fupi ilifanyika katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma na kushuhudiwa na wadau mbalimbali wakiwemo wajumbe wa bodi ya mfuko, watumishi wa hospitali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...