Watangazaji wa kipindi cha Mishe Mishe cha Radio 5 ya jijini Arusha wakiwa studio wakiendesha kipindi hicho leo,Kulia ni Salim Hassan Bitchuka na kushoto ni Mwanaisha Suleiman Shaibu.katikati ni Dj wa Kipindi aitwaye King Dav.
  Timu wa wafanyakazi woote wa Kituo hicho.
 Maproducer wa Radio 5 FM ,Deogratius Moita (mwenye nyekundu) na Charles Mayomi. 
 Sehemu ya studio mpya ya TV ambayo karibuni itaanza kufanya kazi
Jengo la kituo hicho kwa nje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hiyo computer yao mbona imekamatwa na Microsoft? (Windows is Not Genuine) hata wao wanatumia copy za Software za mtaani?? kazi kweli kweli

    Nkyason - A.town

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...