Mabondia Ramadhani Shauli wa Tanzania (kushoto) na Gabliel Ochiang wa Kenya wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito, Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika ukumbi wa friens Coner Manzese.
Bondia Ramadhani Shauli akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Gabriel Ochiang wa Kenya kulia 
Bondia Gabriel Ochiang wa Kenya akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauli kushoto.
Baadhi ya mabondia pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupima uzito leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Duh huyo Boxer aliyovaa ni chupi au boxer au...?
    Au bukta hazipatikani siku hizi ....

    ReplyDelete
  2. Nimecheka kweli, yaani huyo aliye vaa Boxer hayaamini mazingira imebidi afunike ulijali kwa mkono lol!. Hii kali kweli. kila kitu na mazoea

    ReplyDelete
  3. du jamaa kajaza si mchezo, na hapo utakuta dada zetu wanamgombea na mzigo wote huo

    ReplyDelete
  4. Anony wa kwanza hujawahi ona Marekani wanavyopima nini?
    Afadhali hawa walivyovaa kuliko wanavyopima Marekani.

    ReplyDelete
  5. Hapa sio Marekani wewe Anon, usije ukataka kuleta mambo mengine bureeee eti kisa Marekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...