Mimi nilikuwa sina habari au kumbukumbu kuhusiana na tukio hili muhimu, nadhani ni kutokana na mambo kuwa meeengi, ila asubuhi hii ndo nikapata ujumbe mfupi wa maandishi(wa simu ya mkononi) kutoka kwa mdau huyu mkubwa wa blog yetu akisema, nanukuu "Bwana Yethu Athifiwe saaaaaana!! Aithee leo ndiyo nimecross rasmi kutoka ujana kuingia utu uzima. .......years net turned in today. Happy birthday Fuuule! Wahaya wanasema bonzavo Fuledi!"
Hayo yalikuwa maneno yake yeye mwenyewe Dr. Fred A. Rwechungura; nasisi tunaungana naye kumpongeza.....Happy birthday ya kuzaliwa kwako kaka daktari.
Pichani daktari akiwa kwenye joho lake mara baada ya kula nondozz akiwa na wanafamilia.
Mwesiga A. Rwechungura (mdau daima)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...