Makamuzi yakiendelea na Christian Sheggy na wenzie
 Mpiga Drums Moses Miliya AKA “Miwaya”
Bassist  Iddy akiwa kazini
Bendi ya dansi ya Sandton Sound ikitumbuiza katika kiota cha maraha cha Anamwana Pub kilichopi Kimara, jijini Dar es salaam wikiendi ilopita. Bendi hii, inayopiga kila aina ya muziki kwa umahiri mkubwa, inachangamsha sana wakaazi wa maeneo mbalimbali ya jiji. Juu  Kutoka kushoto ni George Gama ( Mpiga Bass, Drums na Muimbaji), akifuatiwa na Francois Sheggy, na Christian Sheggy.

RATIBA YA WIKI HII
Tarehe 21/3/2012 Sandton itapiga pale WoodLand Bar- TipTop karibu Na Darajani
Tarehe 22/3/2012 itapiga kiwanja cha nyumbani Sandton City Motel pale Tiptop tena
Tarehe 23/3/2012 Tutarudi tena WoodLand Bar pale TipTop karibu na Darajani
Tarehe 24/3/2012 tutakuwa Kimara Rombo- Anamwana Pub
Tarehe 25/3/2012 Tutakuwa Mtongeni Bar pale Mbezi Kimara- Kibanda cha Mkaa




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bendi imetulia nimeshahudhuria show zao na kusema ukweli muziki wao ni mzuri sana. Sijui kwa nini hawakui

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...