Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga akifafanua jambo wakati wa semina ya  mawakala wa mashindano  ya urembo ya Miss Tanzania 2012 iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Miss Tanzania 2011, Sarha Israel na Meneja wa kinywaji cha Redd,s Victoria Kimaro
 Mawakala kikaoni
 Baadhi ya mawakala wakifuatilia mada za kikao
 Picha za pamoja
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Lundenga kwa nini usikubali kuwa kwa umri wako na mambo ya ULIMBWENDE hamuendani tena?
    Bora uachie vijana wabunifu wafanye vitu vyao kwani wewe umepitwa na wakati kaka!

    Kubali matokeo kaka UMRI umekutupa mkono!

    ReplyDelete
  2. umri umemtupa mkono kwani amekufa? mwache afanye kazi ikiwa yuko hai na ana nguvu. usilete unyanyapaaa hapa.

    ReplyDelete
  3. Wewe Mdau nani alikwambia Mwanaume anazeeka ?

    Kwa taarifa yako mwanaume DAIMA anakuwa ni 'OLD BOY' tu kwa vile cha msingi Mtaji wa Mwanaume wa kuwa navyo ni vitu viwili muhimu cha tatu ni ziada:

    1.PESA,
    2.NGUVU ZA KIUME NA KUJIHISI ZIMO,
    3.UWEZO NA KUIMUDU MIZUNGU YA MAHABA,

    Inaonyesha wewe Mdau ungali mdogo au huyajui mambo, pana baadhi ya Wazee ni moto wa kuotea mbali kwa Mahaba motomoto akimnasa Demu au Mkeo wewe Mwanaume Mwanamke wako atakuona Bonge la fala!,,,kwa kweli Kibabu atakulaza chali !

    Wewe Kijana ndio mwanamke wako atakuona Mzee, na huyo Mzee Ki-Babu ataitwa Kijana !

    Upo hapo?

    ReplyDelete
  4. Mwanaume anazeeka vipi ?

    Hujawahi kuona Babu wa miaka 85 anaona Binti wa miaka 15 ?

    La muhimu ni 'uwezo wa pesa' na 'Jogoo' lililokuwa zima linalowika !

    ReplyDelete
  5. Hawa Mawakala kama ndio wenyewe Ma-Miss !!!

    Wazuriiii !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...