Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari (kulia) akiwa amezongwa na wananchi baada ya mkitano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Lekitatu kata ya Usa River leo.
 Sioi akisalimia wananchi kwenye mkuatno huo wa Ngarasero, Usa Rive
 Mgombea wa CCM Sioi Sumari akiingia kwenye mkutano huo wa Ngarasero leo jioni 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi sana! Sisi wenyeji wa Meru na ndugu zetu Wamasai tutamaliza jeuri ya slaa, lema, tundu lissu na kyadema jumapili ijayo. CCM oyeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. oyeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...