Makamu wa Rais anayeshughulikia Biashara wa kampuni ya SPANCO, Chandrashekhar Narayanan (wa pili kulia) akimtunuku cheti cha mfanyakazi bora Melissa Makanzo wakati wa hafla ya kusherehekea mwaka mmoja wa utoaji wa huduma kwa wateja, Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Meneja Mafunzo wa kampuni ya SPANCO ambao ni wakala wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Saad Hussein (kulia) akimtunuku cheti cha mfanyakazi bora mfanyakazi wa kampuni hiyo, Neema Shoo wakati wa hafla ya kusherehekea mwaka mmoja wa utoaji wa huduma kwa wateja, Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa kampuni ya SPANCO (kutoka kulia) Zena, Thabit Kaghembe na Fatuma Ngonyani wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
Watendaji wakuu wa kampuni ya SPANCO wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi waliotunukiwa vyeti vya ufayajikazi bora na wafanyakazi wengine.
Habari haijakamilika, hiyo SPANCO ni kampuni ya nini? unapotuandikia kwa kifupi hivyo unafikiri wote tunafafanyia kazi hiyo kampuni?
ReplyDeleteKaghembe taratibu na mikono hiyo angalia usije nyakuliwa ndugu yangu.
ReplyDeleteKwahiyo ninyi wote hapo wafanyakazi bora,,angalieni ninyi hao jamaa wanawazingua tu hapo..ngoja tu niishie hapa kwani ukifuatilia sana hizi siasa utachanganyikiwa.
ReplyDeletehawa jamaaa ni watu wa wapi na hiyo spanco nini? maana vyeti vyatolewa huku wanatizama kidizaini hatari..sielewi
ReplyDeletehahaha kampuni haijulikani hyo bana msitunzingue spanco ni kampuni ya nn wahindi wanawapiga changa la macho kwanza naskia hao wahindi wanawafanyia kitu mbaya wafanyakazi wao.. tehe
ReplyDeleteSPANCO NDO NIN??? ELEZEA KWA KIREFU!!
ReplyDelete