Banda la TTB lilivyokuwa likionekana wakati wa maonesho haya Bodi ua Utalii Tanzania iliratibu vyema maonesho ya utalii yaliyofanyika nchini ujerumani katika jiji la Berlin kuanzia tarehe 7 – 11 Machi 2012. Maonesho ya ITB ndio maonesho makubwa duniani yanayowakutanisha wafanya biashara za utalii duniani.Jumla ya makampuni 59 toka Tanzania ziliweza kuhudhuria kati ya hizi kampuni 31 zilikuwa ni zinazojihusisha na mahoteli (hotel, appartments), kampuni 24 zinazohudumia watalii (tour operatos) na kampuni nne, 39 ndege (Airline carriers) Katika maonesho haya Bodi ya Utalii iliwaza vyema kutengeneza utalii ambao ni hazina kubwa kwa nchi ya Tanzania.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...