Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve kulia akimwelekeza bondia Tomas Mashari wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mpambano wake dhidi ya Bondia Selemani Galile hapo April 9,mwaka huu.
Bondia Tomasi Mashari akifanya Mazoezi kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na Selemani Galile litakalofanyika April 9,mwaka huu.
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi kutoka Sweeden, Juma Ntuve kushoto akiendelea kumfua bondia Tomas Mashari wakati wa mazoezi yake ya  kujiandaa na pambano lake dhidi ya Bondia Selemani Galile hapo April 9,Mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu mbona hana guard anapotupa ngumi zake hajui kuna counterpunch?

    ReplyDelete
  2. Ras Ntuve Big Up,katika umri wako bado upo ngangali kinoma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...