Home
Unlabelled
The truth of our life !!!!!! Life cycle - watch closely
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa wagalatia!!
ReplyDeleteHayo ndio maisha na Safari yake.
ReplyDeleteLAITI TUNGETAMBUA, TUSINGESUMBUANA KABISA KTK MAISHA TUNGEBAKI KUWA WAPOLE HUKU TUKISUBIRI MWISHO WA SAFARI ZETU!
Kuumbwa ,Kuzaliwa,Utoto,Ujana,UKubwa nawe unazaa,tunatangualiana ktk kufa, Uzee hadi kifo!
Sasa leo hii unamkuta mwanaadamu mwenzio anakuvimbishia kichwa, anakutisha, anajifaharisha mbele yako, anakuringia, anakukomoa na anakutunshia Msuli wakati sisi sote mwisho wa Safari yetu ni KABURINI!
mhhhhhhhhhhh.......... umefanya roho iniume sana coz nimekumbuka vitu vingi sana, maisha haya jamani......... kuhangaika kote ndo unaishia hapo poja na kujidai sana lakini wapi.....
ReplyDeleteNashukuru kutukumbusha.
Huu ni ujumbe kwa wale wanaojifanya zaidi juu ya wengine!
ReplyDeleteMaisha si lolote si chochote
Uwe na RANGE ROVER VOGUE, Uwe na PRIVATE JET, Uwe na HUMMER-4 au HUMMER-6, Uwe na NYUMBA YA GHOROFA MIA NA ZIADI, Uwe na GHALA LA NOTI HATA ZIWE NI DOLA ZA MAREKANI,,,Mwisho wake ni kaburi tu.!!!!
Duuuuuu!! Nyodo zote zimeniisha, nimebaki kuguna tu sina la kusema jamani.
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza kwanini Wagalatia jamani hata wasio wagalatia hawaingizwi ktk sanduku na watu kusali jamani....usiwa mbaguzi wa dini elewa msg
ReplyDeletekweli kaburi ni mwisho wa nyodo>>>>>>><<<<kudadeki!
ReplyDelete