Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile akibadilishana hati za makubaliano na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi wakisaini hati za makubaliano katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.Picha na Anna Nkinda - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi hii ni misaada au tunakopeshwa. Mimi kama mlipa kodi ningependa kujua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...