
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile akibadilishana hati za makubaliano na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.

Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi wakisaini hati za makubaliano katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jana jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.Picha na Anna Nkinda - MAELEZO
Hivi hii ni misaada au tunakopeshwa. Mimi kama mlipa kodi ningependa kujua.
ReplyDelete