Home
Unlabelled
UNAWEZA GUNDUA NINI KWENYE PICHA HII??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Helmet mkononi!
ReplyDeleteUsalama wao wa kichwa kaushika mkononi ni ufukara wa mawazo!
ReplyDeleteSijagundua ila naona kama vile herumenti imevaliwa mkononi badala ya kichwani
ReplyDeleteTUKESHE TUKIOMBA TOYO NI JIBU...HA HA HA HA
ReplyDeleteHellmet imevaliwa mkononi!! Usalama nini? bora kufika!!!lol
ReplyDeletehuyo jamaausalamawake wa kuvaa kichwani kaukamata mkononi mdau istanbul
ReplyDeleteDereva wa pikipiki hana helmet na abiria baada ya kuvaa helmet kaamua kuishikilia.Nafikiri anaogopa kushare helmet maana magonjwa ya ngozi noma.
ReplyDeletevitu ni vingi vya kugunduwa ila kama ulitaka kasoro ni kwamba jamaa kashikilia helmet badala ya kulivaa, na dreva do kabisa hana hata ya kushikilia.
ReplyDeletehelmet "imevaliwa" mkononi..
ReplyDeletebadala ya element kuvaliwa kichwani inashikwa mkononi- ujinga mtupu
ReplyDeleteHakuna cha kugundua hapo: "MSIJIULIZE KESHENI MKIOMBA........." au umeshindwa soma ujumbe huo sie tumeshindikana na tunahitaji maombi ili kuondoa yanayo tukabili.
ReplyDeleteMIMI SIJALI KUFA AJALI KAZINI KITU CHA KAWAIDA HUYO BWANA HALIVYOHOJIWA NDIO KASEMA HIVYO
ReplyDeletesijagundua lolote jipya kwani waendesha piki piki na abiria wao hapa tanzania wanavaa helmet mikononi. Nasikia ndio malengo ya helmet hayo.
ReplyDeleteHelmet badala ya kuvaliwa imebebwa kama mzigo!
ReplyDeleteUJUMBE ULIOPO KWENYE GARI NA KWENYE PIKIPIKI
ReplyDeletemchezaji mpira apewa lifti na boda boda na kasahau kuvaa helmet
ReplyDeletemchezaji mpira kapewa lifti kashika helmet badala ya mpira
ReplyDeleteBodaboda na Hiace ya mbele zote zina ujumbu wa Mungu
ReplyDeleteEneo hilo wanamjua na kumuabudu mungu, maneno nyuma ya bus na pikipiki ni ya kumsifu mungu.
ReplyDeleteJamani jamani kwani yeye mshamba ? hajatoka kijijini leo , hayo ndio mambo ya daaaslaaaaam! kazi kweli kweli , lakini ukiangalia kwa kina huyu bwana hajakosea watu wataambukizana magonjwa ya chawa, na kunguni, na magojwa ya ngozi yasio na tiba ni afadhali mtu unakufa fresh sio mtu unakufa umekoboka ngozi kama mahindi ya kupikia makande. hata kama ni mimi hio Helmet nisingeiweka kichwani kwangu.
ReplyDeleteSOLUTIO PIGA MARUFUKU HIZO BODA BODA, HUO SIO USAFIRI AFADHALI BAJAJI MARA ELFU kuliko piki piki na serekali ya wendawazimu kama hao madereva wa boda boda wasio jua athari za vipikipiki ni kila siku vinaua watu na kukata miguu kama vimawazimu. SEREKALI IMEOZA NA WATU WOTE WAMEOZA TUFE TU!
Bwana mchungaji wangu kwenye daladala na kesheni mkiomba kwenye pikipiki. Ujumbe mmoja!!
ReplyDeleteameamua kushika helmet mkononi kwa sababu akiivaa itachukua nafasi kubwa na kuwafanya abiria wengine wakose nafasi ya kuweka vichwa vyao. pili, mwenye helmet yuko mmoja ambaye ni abiria, driver hana helmet. sasa ya nini abiria kuvaa helmet wakati dereva mwenyewe hakuvaa
ReplyDeleteHelmet na kufunga mikanda ya gari ni ushahidi kwa Polisi! Population imezidi kwa hiyo wanaotaka kupunguza population haraka haraka kwa ajali vaa helmet mkononi na usifunge mkanda.
ReplyDeletePicha ineonyesha jinsi wenye gari na pikipiki walivyoelemewa na mawazo ya Ulokole:
ReplyDeleteYaani,
1.Gari-Bwana ndiye mchungaji wangu:
2.Pikipiki-Kesheni mkiomba