Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Helmet mkononi!

    ReplyDelete
  2. Usalama wao wa kichwa kaushika mkononi ni ufukara wa mawazo!

    ReplyDelete
  3. Sijagundua ila naona kama vile herumenti imevaliwa mkononi badala ya kichwani

    ReplyDelete
  4. TUKESHE TUKIOMBA TOYO NI JIBU...HA HA HA HA

    ReplyDelete
  5. Hellmet imevaliwa mkononi!! Usalama nini? bora kufika!!!lol

    ReplyDelete
  6. huyo jamaausalamawake wa kuvaa kichwani kaukamata mkononi mdau istanbul

    ReplyDelete
  7. Dereva wa pikipiki hana helmet na abiria baada ya kuvaa helmet kaamua kuishikilia.Nafikiri anaogopa kushare helmet maana magonjwa ya ngozi noma.

    ReplyDelete
  8. vitu ni vingi vya kugunduwa ila kama ulitaka kasoro ni kwamba jamaa kashikilia helmet badala ya kulivaa, na dreva do kabisa hana hata ya kushikilia.

    ReplyDelete
  9. helmet "imevaliwa" mkononi..

    ReplyDelete
  10. badala ya element kuvaliwa kichwani inashikwa mkononi- ujinga mtupu

    ReplyDelete
  11. Hakuna cha kugundua hapo: "MSIJIULIZE KESHENI MKIOMBA........." au umeshindwa soma ujumbe huo sie tumeshindikana na tunahitaji maombi ili kuondoa yanayo tukabili.

    ReplyDelete
  12. MIMI SIJALI KUFA AJALI KAZINI KITU CHA KAWAIDA HUYO BWANA HALIVYOHOJIWA NDIO KASEMA HIVYO

    ReplyDelete
  13. sijagundua lolote jipya kwani waendesha piki piki na abiria wao hapa tanzania wanavaa helmet mikononi. Nasikia ndio malengo ya helmet hayo.

    ReplyDelete
  14. Helmet badala ya kuvaliwa imebebwa kama mzigo!

    ReplyDelete
  15. UJUMBE ULIOPO KWENYE GARI NA KWENYE PIKIPIKI

    ReplyDelete
  16. mchezaji mpira apewa lifti na boda boda na kasahau kuvaa helmet

    ReplyDelete
  17. mchezaji mpira kapewa lifti kashika helmet badala ya mpira

    ReplyDelete
  18. Bodaboda na Hiace ya mbele zote zina ujumbu wa Mungu

    ReplyDelete
  19. Eneo hilo wanamjua na kumuabudu mungu, maneno nyuma ya bus na pikipiki ni ya kumsifu mungu.

    ReplyDelete
  20. Jamani jamani kwani yeye mshamba ? hajatoka kijijini leo , hayo ndio mambo ya daaaslaaaaam! kazi kweli kweli , lakini ukiangalia kwa kina huyu bwana hajakosea watu wataambukizana magonjwa ya chawa, na kunguni, na magojwa ya ngozi yasio na tiba ni afadhali mtu unakufa fresh sio mtu unakufa umekoboka ngozi kama mahindi ya kupikia makande. hata kama ni mimi hio Helmet nisingeiweka kichwani kwangu.

    SOLUTIO PIGA MARUFUKU HIZO BODA BODA, HUO SIO USAFIRI AFADHALI BAJAJI MARA ELFU kuliko piki piki na serekali ya wendawazimu kama hao madereva wa boda boda wasio jua athari za vipikipiki ni kila siku vinaua watu na kukata miguu kama vimawazimu. SEREKALI IMEOZA NA WATU WOTE WAMEOZA TUFE TU!

    ReplyDelete
  21. Bwana mchungaji wangu kwenye daladala na kesheni mkiomba kwenye pikipiki. Ujumbe mmoja!!

    ReplyDelete
  22. ameamua kushika helmet mkononi kwa sababu akiivaa itachukua nafasi kubwa na kuwafanya abiria wengine wakose nafasi ya kuweka vichwa vyao. pili, mwenye helmet yuko mmoja ambaye ni abiria, driver hana helmet. sasa ya nini abiria kuvaa helmet wakati dereva mwenyewe hakuvaa

    ReplyDelete
  23. Helmet na kufunga mikanda ya gari ni ushahidi kwa Polisi! Population imezidi kwa hiyo wanaotaka kupunguza population haraka haraka kwa ajali vaa helmet mkononi na usifunge mkanda.

    ReplyDelete
  24. Picha ineonyesha jinsi wenye gari na pikipiki walivyoelemewa na mawazo ya Ulokole:

    Yaani,

    1.Gari-Bwana ndiye mchungaji wangu:
    2.Pikipiki-Kesheni mkiomba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...