Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani Shinyanga jana.
Meza Kuu wakigonganisha chupa kuashilia uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani Shinyanga jana.Kutoka kulia ni Meneja Masoko wa TBL, Fimbo Butallah,Meneja mauzo wa Kanda, Malaki Sitaki, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga,Amina Masenza, Meneja mauzo wa Mkoa wa Shinyanga, Robert Michael na Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Amina Masenza(kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani Shinyanga jana.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa na Meneja mauzo wa Mkoa wa Shinyanga, Robert Michael.
Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wakina Dada walioshona sare za Balimi Extra Lager wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia ya Balimi Extra Lager Mkoani Shinyanga jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...