Home
Unlabelled
vimbwanga vya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kibonzo kinafurahisha ,na maana yake ni funzo kwa viongzi wetu wa kiafrica ambao wanang'ang'ania madaraka wakiwa wazee.Wawaachie vijana ni wakati wao sasa,wao walianza wakiwa vijana sasa wazee,waachie madaraka kwa wengine
ReplyDeleteHuyu Mzee WADE ni muda wake sasa kukaa pembeni angoje kutafutwa kwa Ushauri wadogo wakikwama abaki anakula bure kwa kodi ya Wananchi kutokana na alivyoitumikia nchi akae bure, kula ,kunywa, kulala na matibabu kwenye Majumba ya kulelea Wazee akisubiri kifo huku akiwa na Mipira yake uvunguni mwake tumboni!
ReplyDeleteikiwa kiongozi anaongoza hadi anazeeka, wastaafu wanateuliwa kushika nyadhfa, vijana wataajiriwa lini? nimezaliwa nasikia fulan mkuu wa mbunge, mara waziri, mara kastaafu kapewa ukuu wa mkoa, sasa mimi nitaajiriwa lini?
ReplyDelete