Dr.Hildebrand Shayo (kulia) akirejesha fomu zake kuwania ubunge wa Afrika Mashariki kwa ofisa wa CCM katika ofisi ndogo za Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam. Dr Shayo ni mhadhiri wa Uchumi na amerejea nchini baada ya kuishi Uingereza kwa miongo kadhaa akifundisha. Katikati ni Mh Makongoro Nyerere ambaye naye amejitosa kwenye libeneke hilo lenye ushindani mkubwa.
Home
Unlabelled
Dr Shayo na Makongoro Nyerere wajitosa kuwania ubunge wa Afrika Mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Thumbs Up Dr Shayo, alex bura dar
ReplyDelete