Home
Unlabelled
wema sepetu katika kipindi cha Mkasi na salama jabir ndani ya amaya beauty parlour & spa jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mdogo wangu wema naomba nizungumzie sentensi yako kuwa "ALL MEN ARE DOGS" Sijui umetumia vigezo gani kufia hilo hitimisho. Kwa mtazamo wangu mimi ni kuwa umekuwa 'too extream'au ume 'over-exaggrate' pengine ni kutokana na yale yaliyokukuta kati yako na "men" kwa hiyo bado una 'emotions & regreats' Ungeweza kutumia 'justifiable sound-bites' kama "most men I've come across with, are dogs", "a certain percentage of men I met, are dogs" " agood number of men I know, are dogs", a chunk of men I've encoutered, are dogs" ambapo inakuwa ni rahisi ku-'defend your dogish stand point point' natumaini kuwa mzazi wako wa kiume amekulea vizuri sana ndiyo maana umefikia hapo ulipo.Sasa hebu jaribu kufikiria mdogo wngu, kama huyo mzazi angekuwa dog..........
ReplyDeleteTunashukuru kwa kuwa na baba yake ni mwanaume anayebweka. Ushamba na ulimbwekeni wako usidharirishe wanaume.
ReplyDeleteBahati mbaya sana mungu huwa hatupi vyoote! huyu dada amekosa IQ ya kuwaelewa wanaume, msichana uliyefikia umri huo na amesoma alitakiwa kutojirahisisha kwa hao wanaume, wanaume wengi ni heat & run, Sasa kwa uzuri aliopewa na mwenyezi mungu alipashwa kuwa na subira, kujua mume wa maisha yake ni yupi mwenye zile sifa anazozitaka yeye huku akimuomba mola wake amsaidie, Lakini ukiwa ni msichana wa kujiachia kwa kila anayekuja ukidhani ndiye kumbe mwisho wa siku unakuja kuishia kwenye kilio na majuto.. KAZI!
ReplyDeletenice 1 mdau wa kwanza.
ReplyDeleteMdau Mtoa Maoni wa Kwanza Anonymous Thu Mar 22, 05:26:00 AM 2012
ReplyDeleteNakuunga mkono 1000% yaani 10 times of % !
Wema amepotea hasa, je kundi la Baba yeke au Babu zake na kaka zake nao ni Wanaume na nadhani ungali unaheshimiana nao ingawa sisi wengine ni watu baki 'Usiye mfahamu hakuthamini' sasa aje hao Wanaukoo wako ambao ni Wanaume hapo unawaweka wapi?
MIMI NAOONA WAKUWASHAURI NI HAO WANAOMHOJI KWANI INAONEKANA WANASHINDWA KUJUA KUWA KUNA WATU ELIMU NA UFAHAMU WAO NI MDOGO HIVYO VITU VINGINE WASIVI BOADCAST KWA KUWAPROTECT. WEMA HAJUI KOSA ANALOFANYA J..SASA JE NA MEDIA INASHINDWA KUMPROTECT..AT LEAST KWA SASA. COMMENTS ALIZOWAHI KUTOA HUKO NYUMA ZILIKUWA ZINAMDAMAGE..KWA HIYO WANAZIDI KUMDHALILISHA KWA HIZI RECENT COMMENTS..BAHATI MBAYA HAJUI..IT IS TIME FAMILY AND GOOD FRIENDS HELP HER.
ReplyDeleteHivi Vituo vya Luninga vimekosa watu wa kutoa Makala ya maana vikaalika Machizi badala ya watu na makala zenye akili?
ReplyDeletezungumza kiswahili maana hiyou english iko off kabisa - I can hardly understand!!!
ReplyDeleteJamani mwenzenu habari za huyu Wema sijui hata niwekeje. Maana kwa ufupi kama ni uzuri wanawake wote ni wazuri inategemea uzuri huo ulio nao ni kwa nani. kwa maana hiyo wapo wanaomuona wema mbaya. Mimi nisichopenda ni yeye kuuza habari zake magazetini hasa zingine kuwa za aibu kwa watanzania na utamaduni wetu. Watoto wetu wanajifunza nini kutoka kwake hasa ikizingatiwa yeye alishakuwa "miss Tanzania". Pia sio mkweli maana anapodai hana boyfriend kisha tunasoma magazetini anatembea na mume wa mtu. Anathubutu hata kukubali kuhongwa gari la familia ya huyo bwana. Kwa ufupi Wema uko kama ulivyo lakini fikiria watu wengine unawaumiza pia watoto wa wenzio wanaposoma vituko vyako unawasaidiaje au ndo hujali kwa vile hawakuhusu? Kwa ufupi wewe na IRENE UWOYA mnabore na maisha yenu. Natamani siku moja muwe mastaa wa kujiamini pasipo kujidhalilisha najua mta-hit sana kuliko hii cheap poplarity. Oneni Beyonce, Jolie, Victoria Beckham n.k. wako juu kwa juhudi zao na sio kujiuza kirahisi kwa wanaume kisa tu unajiona mzuri. Naomba tu nikushauri mdogo wangu Wema simama kwa miguu yako heshima yako itapanda sana na utatengeneza pesa sana hata usijue pa kuitumia.
ReplyDeleteJAMANI JAMANI MUACHENI HUYO DADA MBONA HIVYO MNAMSHAMBULIA KIASI HICHO? HUYU SIS ANAISHI MAISHA YAKE KITU GANI KINAWASUMBUA NINYI ? YEYE SIO TSRA WA KWANZA KUWA NA UHUSIANO NA BOY FRIENDS WENGI. HUKU MAJUU KUNA VIKONGWE KAMA CZACZA ZABOR ANA UMRI WA MIAKA 95 SASA LAKINI BADO ANAVIDATE VIVULANA MPAKA VYA MIAKA 50 CHINI YA UMRI WAKE NA HIVI KARIBUNI KAOLEWA KWA MARA YA TISA(9) MBONA HASHANGAI MTU? WEMA ANA UHURU WA KUSEMA LOLOTE LILE KWANI NCHI YETU NI FULL DEMOCRASY HIO SIO SAUDI ARABIA,AU KUWAIT,NCHI AMBAZO MWANAMKE KABANWA HANA HAKI YA KUONGEA ANACHOKIPENDA AU KUCHANGIA NENO KATIKA JAMII . tANZANIA NI HURU NA INA FREE OF SPEECH, WALA MTU HAWEZI KUFUNGWA JELA ETI KWA SABABU KASEMA KITU AMBACHO JAMII HAITAKI KUKISIKIA, KWA NINI HIYO TV MKASI IMEMKARIBISHA WEMA AJE AOTE MAWAZO YAKE YA MAISHA KAMA NAAKANDIWA KIASI HICHO SASA? AU MNATAKA MTU ANAEDANGANYA UMMA KATIKA TV YA JAMII? MUACHENI HUYO DADA AISHI MAISHA YAKE ITAFIKA SIKU ATAMPATA MWENZI ATAKAE MKUBALI NA YEYE WEMA ATAMKUBALI KIMAISHA NA KIMAPENZI . KWANI NI KOSA KUSEMA WANAWAKE WOTE NI WASHENZI AU MALAYA? HAPANA NI JINSI GANI WEWE MWANAUME UTAKAVYO WAONA WANAWAKE! WALA SIO KOSA KUSEMA HIVYO . ENDELEA DADA , KIJANA MREMBO ATAKAE KUKUBALI AKUBALI NA ATAKAE KUKANDIA ASILIBE MAVI TU MPAKA YA MUISHIE TMBONI , WEWE DUNDA WALA USIMJALI MTU, KAMA UNAONA WANAUME WOTE NI MBWA SAWA TU UHURU NI WAKO NA WEWE NI MTANZANIA SEMA CHOCHOTE KINACHOKUCHEFUA KAMA HUKIPENDI. WALA KAULI YAKO HAIWEZI KUMFANYA MTU ALALE NA NJAA.
ReplyDeleteMUACHENI HUYO SISTER MSIJE MKAMUUA NA MAPRESHA BURE BADO KIJANA ANAENJOY MAISHA YAKE.
MASTAA WANGAPI DUNIANI WAKO KAMA HIVYO MPAKA MIFANO YA KARIBU KINA MADONNA BADO WANAENDELEA NA VITUKO KAMA WEMA NANI ANAWASHANGAA ? HAKUNA NI MAISHA YAO? TUKUBALI WABONGO KAMA TAYARI DUNIA IMEBADILIKA NA MTAZAMO WA BINADAMU UMEBADILIKA , HILO LAZIMA TUKUBALI. NINYI MNAOMKANDIA NDIO HAO HAO MNAISHI KUTOKA MGONGO WAKE ILI MUUZE HABARI
VIVA WEMA
kwa kweli mimi kama mwanamke huwa nasikitika sana nikiona wasichana wanaojiita mastaa kama Wema wanavyojidhalilisha badala ya kutumia umaarufu na nafasi walizonazo kuwa role models kwa wadogo zao! Nawaonea huruma sana wazazi wao maana naamini hawasupport huu uchafu.Mtoto umemlea kwa tabu anakuja kufanya mambo ya ajabu kama anayofanya Wema,na kuongea utumbo kama huu.....I suggest she see a psychiatrist!!!
ReplyDeleteEti mimi mtoto wa kiislamu. Sidhani hata kama anajua sifa za uislam au mtu mwenye dini. Anamfanananisha baba yake na mbwa. Mungu amsamehe.
ReplyDeletetatizo ni kwamba watoa maoni wote wana judge huyo binti kupitia stori za magaziti ya udaku, she is innocent girl amabaye ana kila haki ya kusema alichosema kwani hata baba yake ali desert familia yake kwa ajili ya mwanamke mwingine sijui ni nani anajua damage iliyosababishwa na mzazi wake wa kiume imemuathiri huyu binti, je mtoa maoni wa kwanza ume elezea vizuri sana je kuna hata mtoa maoni mmoja ambaye amegusia wazo wa ushauri wa kitaalamu kwa binti huyu, mtoto huyu amkosa parental love kwa ujumla wake ndio inampelekea kuona kila mwanamme anaempata kwake yeye atampenda mapenzi yake yote lkn mwisho wa siku anaumizwa. bado hajajua kujieleza na wazi hajui maumivu aliyonayo, anahitaji msaada wanaomwita kichaa wanakosea, tumsaidieni, katika jamii wako wengi ila Wema amegeuzwa chombo cha kujipatia riziki kupitia media, sio redio wala magazeti yote yanamtumia binti huyu tena vibaya bila ridhaa yake, she is strong young girl lkn baadae atashindwa ku handle hii hali na tutampoteza kama Amina Chifupa.
ReplyDeleteKamfundishe wewe sasa huo Uislam!
ReplyDeleteMtumwa wa hedi. kama wewe ni muislam embu tueleze uislam una rangi ipi au kichwa chake kikoje? au lazima uwe TERRORIST ndio uitwe muislam?
Mdau london
Wewe mdau wa JAMANI JAMANI, wacha fixi zako hapa kujifanya unajua au kwa kuwa unaishi marekani?
ReplyDeleteIkiwa unataka kuelezea kitu basi fanya utafiti kwanza. Huyo uliyemtaja Zsa Zsa (sivyo kama ulivyomuandika) ni kweli ameolewa na waume 9 alipokuwa bado anajiweza, leo na miaka yake 95 amelala hajijui hajitambui. Eti unataka kutwambia bado anadate? usitudanganye bwana au historia yake hukuisoma sawa?
Halafu Zsa Zsa ndiyo anatoa funzo gani kwa watoto wetu hapa Tz? Yeye alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo enzi zake kwa sababu ya fedha, hao wa kwetu jeeeee?
Huyu binti ni dhahili kwamba amepoteza mwelekeo, hivi kweli inawezekanavipi yaya atafute umaarufu kupitia waume za watu, halafu anajiita STAR inamaana ustaa wake ni kwajili ya NGONO ? kilakukicha ni yeye tu kwenye magazeti na Radio kutangaza sifazake mbaya katika jamii. namshauri mdogo wetu huyu ajaribu kutulia na kama kuna aina ya kilevi anatumia ni bora akakiacha maana ameidhalilisha hata familia yake hafai kuishi katika jamii ya wastaarabu,akumbuke kuwa kubadilisha wanaume kila siku siyo sifa nzuri kwa mwanamke ena anaitia doa tasnia ya sanaa na kuonekana kuwa wasichana na wanawake wengi wanajihusisha na sanaa ya filamu wako kama yeye. tunamsihi abadirike ikibidi aende kwenye nyumba za ibada akatubu madhambi yake.
ReplyDeleteSHE SPEAKS VERY GOOD ENGLISH, hamung'unyi maneno. hao wanaosema english yake imepinda wana lao jambo
ReplyDeleteKuna anonymous mmoja amesema kuwa tumuache Wema kwani anauhuru wa kuongea....akasema 'free of speech' Bila shaka alitaka kusema Freedom of Speech... Kwa maoni yangu naomba ayasome maoni ya watu.. wengi wanamshauri vizuri sana. Freedom of Speech sio ya Wema tu. hata sisi au weweuliyeandika.. kwa hiyo atoe maoni yake asizuie watu wengine kuongea.kwa kusema tumuache. hawezi kuachwa hadi atakapoacha kujitokeza na kutoa maoni yake...huo ndio uhuru wa kuongea unavyokula pande zote. Wema hashambuliwi sana kwa kuwa na wanaume wengi (kubadilisha wanaume)..BALI kwa kauli yake ya kuwa wanaume wote ni MBWA...akimaanisha malaya au wanawaacha wanawake na kutembea na wengine bila kuwa na huruma...NAPENDA PIA KUSEMA KUWA ..kwa ajili ya uhuru wa mwanamke ni vizuri kukawa na uhuru wa kuishi na mtu kama unampenda na mambo yakibadilika ukaachana naye. ukaendelea na maisha ya furaha kuliko kufungiwa jela ya tabu kwa ajili ya kuogopa kubadili wanaume. , Naomba nimsahihishe mchangia mada hii aliyesema hakuna watu wanamshauri bali kumshambulia asome maoni kabla ya kutoa maoni yake.....
ReplyDeleteBila shaka wema unasoma maoni haya hivyo ni uamuzi wako kuanya nini. ila naungana na mtu anayemshauri kuona wataalamu KAMA anaona anateseka na hali hii. ila kama yuko bomba endlea na unachofanya sisi wengine tunafaidi na wenginae wanaumia .. that is life..
VIVA WEMA
Unapomnyooshea kidole kimoja mwingine vidole vinne vinakuelekea muhusika!
ReplyDeleteANGESEMA ''ALL MEN THAT I EVER SLEEP WITH ARE DOGS'' INGEKUWA SAWA, LAKINI SIO KUTUCHANGANYA WENGINE TUSIO HUSIKA.
ZAIDI YA HAPO 'DOG' NI YEYOTE ALIYEJIRAHISI NA KUJISHUSHA THAMANI YA UTU WAKE MWENYEWE MBELE ZA WATU NA JAMII KWA MATENDO NA KAULI YAKE, NADHANI MNAJUA NI NANI NINAYEMKUSUDIA HAPA.
Saikolojia ya Kiumbe yeyote pamoja na Binaadamu inapoathiriwa na vitu hivi:
ReplyDelete-Starehe kupita kiasi kama ulevi,kuvuta sana,ngono zembe,kulawitiwa, kusagwa n.k
-Kukosa usingizi.
-Kazi kupita kiasi.
-Uchovu.
-Mahusiano mabaya Kijamii kama uhalifu na rekodi mbaya.
Matokeo yake ni kutokujitambua na kuwa taahira ambapo mienendo na kauli za mtu muhusika ndio itaeleza vile alivyoa athirika Kisaikolojia.
Miongoni mwa vitu vinavyotoa uwezekano wa kupungukiwa na uwezo wa kujitambua na akili na kushindwa kudhibiti kauli na vitendo ni binadamu ktk maisha yake kupata kulawitiwa ama kujamiiana kupita kiasi.
ReplyDeleteWema, usitukane wanaume hivyo kwa sababu ya hasira zako. Naamini hata warembo wenzako wamekumbana na mititi kama yako sema wanaendeleza maisha yao kivyao vyao. Unaharibu tasnia yoote ya urembo Wema.
ReplyDeletewe mdada unaiaibisha tanzania na wanawake wote wa tz,wewe kama miss tz ungetakiwa kuwa mfano bora! kwakweli matendo yako ni machafu! jirekebishe,utapata mume wa kukuoa!
ReplyDelete