Mh Zitto Kabwe alipokutana na Rais mstaafu wa Zambia Mzee Kenneth Kaunda ofisini kwake jijini Lusaka,Zambia. Kitambaa chake cheupe hakimtoki Mzee wetu huyu mtanashati

Kicheko baada ya kumkumbusha uamuzi wao na Mwalimu Nyerere kuhusu Biafra. Heshima kwa Waasisi wa bara la Afrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. rais mtarajiwa zito kabwe

    ReplyDelete
  2. Huyu mzee Kaunda ana afya nzuri sana. Uwezi kudhania kama ana miaka 88.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...