Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mstari wa 4. Mungun waondolee mioyo ya ufisadi na ubinafsi viongozi wetu,ili wafanyekazi kwa maslahi ya wananchi,wasiwe warafi wa kujilimbikiza mali,na wajuwe wazi kwamba cheo ni dhamana.Mungu ibariki jumuia yetu.
ReplyDeleteKwa nini ianze na EE MUNGU? na kwa wale atheist au sisi agnostic?
ReplyDeleteNchi hizi ni za kisekyula kwa nini dini inaingia serikalini.
ReplyDeletehii inaweza kumwagilia maji mche wa ubaguzi wa kidini.
tujuwe kuwa kenya na uganda wana ubaguzi na hupigana kwa misingi hiyo.
Sijui kwa nini wimbo unaanza na "Ee Mungu", na wale wasioamini mungu inakuwaje?
ReplyDeleteIlitakiwa wakusanye maoni katika kutunga wimbo huu siyo kuomba viongozi wa dini kadhaa kutunga kwa mujibu wa imani zao.
ReplyDeleteNdugu zetu WAPINGA MUUNGANO wachache Muungano wa Zanzibar na Tanganyika mpo?
ReplyDeleteWatu wanawaza Kuungana kama mnavyoona hii EAC ninyi mnawaza Kutengana!
Jumuia ya Afrika ya Mashariki nchi Wanachama zimejaaliwa na kubarikiwa kwa mambo tofauti:
KWA UCHACHE:
1-TANZANIA: ina Gas,Uranium,Diamonds,Gold,Metals,Nickel,Coal and Oil very soon to strike.
2-UGANNDA: ina Oil
3-KENYA: ina Masoko na Huduma za Kibiashara na Oil
4-RWANDA: ina Coltan and Bouxite
5-BURUNDI:ina Quality super Coffee
MALI NA NEEMA ZILIZOPO KTK NCHI HIZI AMBAZO ZANZIBARI ITANUFAIKA NAZO HATA MWARABU HANA MNAEMTEGEMEA MKIVUNJA MUUNGANO MWENDE KWAKE.
(MWARABU ANA MAFUTA (Oil) TU )
HUYO HUYO MWARABU, ANA KIAMA KWA VIWILI HAPA CHINI:
1-MAPINDUZI NA VURUGU ZA KISIASA.
2-KUFILISIKA KIFEDHA NA KIUCHUMI SAMBAMBA NA NCHI ZA MAGHARIBI ANAZOSHIRIKIANA NAZO.
UAMUZI WENU KUVUNJA MUUNGANO KAMA MNGEFANIKISHA HAPO KABLA UNGEWAWEKA WAPI HAPO?
SI AFADHALI MLICHELEWA IMEKUWA SALAMA YENU?
:::::MUELEWE SERA YA KUVUNJA MUUNGANO IMEPITWA NA WAKATI:::::
KAMA MNGEVUNJA NI WAZI KULINGANA NA UZITO WA MABADILIKO WA MWENDO WA DUNIA KAMA HAPO JUU MNGERUDI KUOMBA UANACHAMA WA JUMUIA YA AFRIKA YA MASHARIKI AMBAKO MNGEKUTANA TENA NA TANGANYIKA!
KIKO WAPI, SI NDIO MAMBO YA MKATAA PEMA PABAYA PANAMWITA?