Wapiganaji watarajiwa  Lusajo na Lusako  wametimiza umri wa mwaka mmoja na hapa wanakata/kula keki yao ya kusherehekea hepi besdei ya kuzaliwa kwao. Baba Lufingo Mwaipopo anawatakia maisha marefu yenye malengo thabiti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Mughonile Lusajo nu Lusako?
    Nhe Andendekisye Mbije

    ReplyDelete
  2. Ndaga mwe, Kyala abhatuleghe fijo!!

    ReplyDelete
  3. Aise kila la heri vijana.Kiongozi Lufingo huoni kwamba hayo majina uliyowapa ndiyo umeleta balaa zaidi..kwa sababu wanafanana sana(Identical twins)..Kuwatofautisha itakuwa kazi..kama wakicheza soka timu moja,refa anaweza kumpa kadi nyekundu Lusako akidhani ni Lusajo.Imeshatokea ligi kuu ya uingereza kwa mapacha wa Man U.

    David V

    ReplyDelete
  4. so cute. Mungu awakuze mje kuwa good citizen

    ReplyDelete
  5. jackline magomba.April 17, 2012

    HAPPY BIRTHDAY TWINS MUNGU AWAAJALIE UMRI MREFU ZAIDI.

    ReplyDelete
  6. Nmewapenda sana watoto hawa. nawatakia heri na maisha marefu yenye afya tele.

    ReplyDelete
  7. Cute, jamani Mungu awajalie. If i may ask? what is the meaning of their names?

    ReplyDelete
  8. They are so HB, I have also twins, but they girls!

    ReplyDelete
  9. HAPPY BIRTHDAY! tAKE CARE OF THEM, YOU ARE SO BLESSED!

    ReplyDelete
  10. Nimependa stail yao ya kukata keki. Watoto wamepewa nafasi mapema,

    ReplyDelete
  11. Ma'ansha'Allah!!!Muuuwah,,,Mwenyezi Mungu awakuzie,,Nimewapendaje!!!
    Ahlam,,,London

    ReplyDelete
  12. Hadi nimelia, their cute, i like them, mimi ni pacha wote wasichana tumeolewa na tuna watoto, unajua mapacha ni wazuri sana tunapendana na inakuwa kazi mmoja kufanya maamuzi hata ya familia yake bila kumshirikisha mwenzie na imenikumbusha shule Kurwa akikosa mwalimu alikuwa anamuadhibu Doto, mara kibao nimefanya adhabu za Kurwa huku wanafunzi wengine wakishout kwa waalimu si huyo teacher ni Kurwa ila waalimu walikuwa hawaamini, kuna challenge nyingi tumepitia kama boyfriend kujisahau wa Kurwa kumtaka Doto ila tulikuwa tunaelezana hivyo ukikumbana nayo unajitahidi alivyokueleza mwenzako. I will never forget Kurwa alipompiga mtoto wa jirani na wazazi wa huyo mtoto wakanishikilia mie bango kuwa ndo nilimpiga. May God bless u brothers be nice to each other

    ReplyDelete
  13. "MASHA ALLAH" MWENYEEZ MUNGU AWAKUZE NA KUWAJAALIA SALAMA NA AMANI, PIA MAISHA MEMA, WAWE WATOTO BORA NA WENYE KUWATII, KUWAPENDA NA KUWAHESHIM WAWAZAZI WAO NA JAMII YA WOTE WANAOWAZUNGUKA POPOTE PALE WATAKAPOKUWA. MWENYEEZ MUNGU AWAJAALIE MAISHA MAREFU NA KILA LENYE KHERI NA WAO - AMEEN. "HAPPY BIRTHDAY"

    ReplyDelete
  14. watoto wazuri Mungu awalinde na kuwatunza ili wawe wazalndo katika nchi yao, happy bday little ones

    ReplyDelete
  15. Yaani hadi wanatia raha hawa twins mughonile lusajo na lusako, realy love them, nafurahi nimewapenda na ninasherehekea birthday yangu pia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...