Mshambuliaji wa timu ya Chelsea,Fernando Torres akishangilia goli lake kwa hisia kali sana aliloipachikia timu yake dhidi ya Timu ya Barcelona katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la UEFA.kwa mche zo huu wa leo uliomalizika kwa suluhu ya bao 2 - 2,na kuifanya timu ya Chelsea kutinga hatua ya fainali.
Wachezaji wa timu ya Chelsea wakishangilia goli zuri lililofungwa mBrazil,Ramires (pili kulia) wakati wa mchezo wao uliomalizika muda mfupi uliopita dhidi ya timu ya Barcelona.timu hizo zimefungana Bao 2 - 2,lakini kutokana na bao 1 waliloshinda Chelsea katika mchezo wa awali imefanya matokeo kuwa Barcelona 2 - 3 Chelsea na kuifanya timu hiyo kutinga fainali bila zengwe.

Pamoja na kwamba Chelsea walicheza pungufu baada ya Nahodha wao,John Terry kulambwa kadi nyekundu,lakini waliweza kuhimili mchezo huo mpaka mwisho.
jirani leo hataki kuongea na mtu maana shunguli yake ishaishaaaa.......kufungwa noma jamaniii...
hakuna cha messi wala miss ni kipondo tuu hongereni wana wa darajani.
ReplyDeletemdau wa ukweli wa man uuuuuu
Pamoja na ushindi lakini tulibana zile ndude mwanzo mwisho mimi hadi sasa zinauma.
ReplyDeletendo mpira na wamekubali kushindwa na amani ilitawala. Terry kapata red card lakini refa hakupigwa ingekuwa Wanayanga???
ReplyDeleteALL THE BEST CHELSEA.MMETUFURAHISHA AMAKWELI MAAJABU YA MWAKA KUCHEZA DAKIKA ZAID YA 70 PUNGUFU NA TIMU BORA DUNIANI,MMEPIGANA NI SHULE TOSHA KWA TIMU NYINGINE KUWA LOLOTE LAWEZEKANA
ReplyDeleteZile gonga zilinifurahisha kuliko ushindi. Barca wanagonga ndinga jamani.
ReplyDeleteMdau wa kwanza hapo juu:
ReplyDeleteTOKA LINI mtu wa OLD TRAFFORD akampa shavu mtu wa STAMFORD BRIDGE?
Watu wa Ligi ya Uingereza tatizo lenu mnao mtazamo kuwa Mpira ni UK tu !
kwa kweli wanastahili pongezi,kurudi 2-0 wakiwa pungufu sio kitu rahisi
ReplyDelete