Kauli hiyo ilijidhihirisha kwa mmiliki wa gari hili aina ya peugeot 504 (wagon) ambalo kamera yetu ililinasa huko maeneo ya Mto wa Mbu,Wilayani Monduli Mkoani Arusha ikiwa imekula lumbesa la matenga ya nyanya bila hata ya kujari uwezo wa gari hilo.na hii ni moja tu ya magari machache yaliopo katika eneo hilo yanayojihusisha na ubebaji wa mizigo wa namna hii.
Home
Unlabelled
heri punda afe lakini mzigo ufike....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh PESA kweli inatafutwa kwa nguvu kama anamtoto heri angekuwa anaichukua video huyo mtu amuonyeshe mwanae, vijana wasikuhizi uvivu na usharobaro na usister du ndomana shule FAIL zinazidi. Alafu wanakuja na Gia za kutaka IPAD,Iphone,BB watu wanapigwa najuwa ndugu wengine wanapiga Box waliokuwa ofisini mishahara mibovu. Angalau hawauzi unga. A
ReplyDeleteHiyo ndio hali halisi ya Maisha huko Ukanda wa Arumeru Mashariki,,,Joshua Nassari kwa ahadi zako ktk Kampeni kazi kwako !
ReplyDeleteSsa hasara mbilimbili gari imeharibika na nyanya lazima zifike sokoni, itabidi akodi lorry, ubongo wa watu wengine ndivyo unavyofanya kazi. That shows how clever people there, are!!!!!
ReplyDeleteHiyo gari ikiitangaza Ufaransa atauza mamilioni ya Euros!!
ReplyDeletePeugeot 504 family size, niliziona nyingi saana mitaa ya Arusha na Moshi, nilipokuwa vekesheni Ngorongoro miaka kadhaa iliyopita,pia kulikuwa nd Peugeot 304 za kutupa.
ReplyDeletewakati mwingine m2 atumie akili unajaza mzigo namna hiyo?nina wasiwasi kama huyo ndio mwenye gari 100%ni dereva manake anafikiria leo tu aangalii usalama wa gari hata na watumia barabara hii gari itakua haina breki ,taa haziwaki na mambo kibao hii njaa imezidi bwana.dont agree
ReplyDeleteMie hizo Gari nazitafuta zinatakiwa website ya peugeot wanazinunua za zamani. Itabidi nifunge safari Arusha utajiri huoooooooo!
ReplyDeleteBaada ya Mbunge wa Arusha Mjini kupoteza Kiti chake leo, wala asihangaike asogee kwa Mbunge mpya wa CDM Arumeru Mashariki ,kwa vile yeye tunaambiwa Lema ni mtu wa magari magari halafu apewe hili gari hapo Peugeot 504 ili atafute hela ya kula badala ya atakazozikosa sasa Posho za Ubunge!
ReplyDelete