Home
Unlabelled
zijue nauli za mabasi yaendayo mikoni kutokea jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wakurya na wahaya watauwa mtu hizo bei!
ReplyDeleteSUMATRA ipo wapi?
ReplyDeleteBadala ya kuwa wao ndio Mamlaka wanaopanga bei za Nauli kuweka Bango lao lenye nembo yao leo wanaacha hawa Mawakala wanaandika kwa Mkono na kuhatarisha uwezekano wa kuandika nauli zisizo halisi wazitakazo wao.
what do they mean by semi luxury and luxury, kuna vitanda ndani.
ReplyDeleteKusema kweli hilo bango linawekwa na wajanja na kwa muda mfupi sana ili kuchanganya abiria na hizo nauli ni za kuchakachua kwani sio za SUMATRA.
ReplyDeleteKama mdaa niliwahi kupeleka malalamiko SUMATRA na wanapokuja bango linakuwa tayari limefichwa bali kuna siku niliwalengesha wakalikuta na wakaondoka nalo na haikupita muda wakaweka jingine!
Mdau wa Ubungo Anonymous wa Wed Apr 04, 07:47:00 AM 2012
ReplyDeleteKwa idadi ya Wasafiri Mikoani kwa siku nzima Ubungo,
Kama hizo sio nauli halali za SUMATRA duhhh hao Wajanja wachakachuaji watakuwa na ATM Machine ya maana kuwaingizia Umilionea!