Kilimanjaro premium lager wanakuletea Kilimanjaro Tanzania music awards 2012, ni jumamosi hii ya tarehe 14/04/2012 tunzo mbalimbali kutolewa kwa wasanii mbalimbali pata kujionea live Yule msanii uliyompigia kura kupanda kwa stage na kuchukua award, huku shangwe zakutosha, good music plus performs nzito kwa wasanii nguli, ni mlimani city hall ndo mahala pa tukio, sh 75000/= tu kwa VIP huku ukipata buffet dinner plus drinks bureee na sh 20000/= kwa viti vya kawaida na BIA moja ya bure pia, sasa ni hivi tickets zinapatikana

Ukumbi wa Mlimani city kuanzia jumatatu,
Posta - Baraka Garden mtaa wa Azikiwe nyuma ya CRDB Bank.
Zizzou Fashion ya Victoria, Sinza na Tegeta.
Bornie to Shine Mwenge
Robbie One Fashion – Kinondoni
Engine Petrol Station – Mbezi.

Hebu ibuka ili umake the most of it.

Kilimanjaro Premium Larger, bonge la kiburudisho kwa wa Tanzania!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...