Bi. Harusi Mtarajiwa,Mahadia Mhando akiwa kwenye pozi la picha wakati hafla yake ya pati ya jikoni (Kitchen Party) iliyofanyika kwenye ukumbi wa Carnival uliopo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara ya kimataifa (sabasaba) mwishoni mwa wiki.
Bi. Mahadia Mhando akipungia wakati akiingia ukumbini.
Bi. Mahadia Mhando akijianda kufungua shampein.
Bi. Mahadia akiwa na wadogo zake.
Huyu dada amependeza sana nampongeza
ReplyDeleteBibie umenoga.. hiyo kitchen party... Thendofu itakuwaje...kadi nishaletewa yakheeee....
ReplyDeleteHongera Sana Mahadia, mimi Anna Bubelwa
ReplyDeletekweli Rama kisavuli umepata jiko si mchezo.bado fadiga sasa!
ReplyDeleteDada umenoga
ReplyDelete