Mkuu wa Mkoa Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini Tanzania (2th National Secretarial Confrerence) lililomalizika rasmi leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
Katibu Mkuu wa Chama cha Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Bhoke Matinyi akizungumza kwenye Kongamano la pili la Makatibu Muhtasi nchini ambalo limemalizika rasmi leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Kumbukumbu na Nyaraka za Serikali nchini kutoka Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Charles Magaya akizungumza kwenye Kongamano la pili la Makatibu Muhtasi nchini (TAPSEA) linalofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.
Muwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma,Mama Wanderage akitoa maelezo ya namna Katibu Muhrasi anavyotakiwa kuwa kwenye kazi yake wakati wa Kongamano la pili la Makatibu Muhtasi nchini (TAPSEA) linalofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.
Mkufunzi na Muwezeshaji wa Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini,Carl Bosser akitoa mafunzo mbali mbali ya namna Makatibu Muhtasi wanavyotakiwa kutenda kazi zao kwa ufasaha pindi wawapo katika majukumu yao ya kikazi wakati Kongamano hilo linalofanyika hivi sasa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.
MC wa Kongamano hilo,Maulid Kitenge akitoa taratibu kwa washiriki.
kuona picha zaidi
BOFYA HAPA
MC wa Kongamano hilo,Maulid Kitenge akitoa taratibu kwa washiriki.
kuona picha zaidi
BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...