MAREHEMU MARTHA JOHN SINKARA 
''Mama Lingalangala-Bibi Mungu"

 Ni miaka mitatu sasa imepita tangu ulipotangulia mbele ya haki. hatupo nawe kimwili  lakini kiroho tupo pamoja . Unakumbukwa sana  na wanao  Thobias, Kelvin, Paul, Joachim, Thomas Na Agatha ''Mbolile" Wajukuu na vituu vyako vyote, majirani, waumini wenzako, ndugu wote na marafiki zako. sisi tulikupenda sana lakini Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi yetu. 
Amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...