Marehemu Dada Grace Ngowi Simtaji
Leo tarehe 29/04/2012 unatimiza mwezi mmoja tangu mpenzi dada yetu ututoke na upumzike. Pamoja na kwamba kimwili hatuko pamoja lakini kiroho bado tuko pamoja. Bado hatuamini kama haupo nasi na hata kusema hatuwezi.
Mwanao Emmanuel anakukumbuka kwa yote ambayo ulimfundisha na yote yanamsaidia katika kipindi hiki kigumu. Sote tunakumbuka mapenzi yako, tabasamu lako na maneno uliyotuachia.
Unakumbukwa na Mwanao Emmanuel, wadogo zako Anna, Bahati, Kotto na Baraka. Mumewe Joseph ndugu na marafiki zako.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,
JINA LA BWANA LISIFIWE
AMINA
grace,bado tumebaki tunashangaa, hatumuulizi mungu ila kibinadamu tunajiuliza why so soon?
ReplyDeletewenzako umetuachia emma hata hatujui tunamwambia nini.
we miss you! we do miss you.
till we meet again, rest friend, rest in peace. peace is what you knew.
love you.
tutamkumbuka sana dada Grace wa yote ambayo alitutendea,alikuwa rafiki mkubwa wa dada yangu marehemu dada Dorica mwalimu wa Kisutu sec ya Dar,wakati ninaoa mwaka 2005 alitoa shela ili mke wangu avae kwenye harusi yetu,Mungu awape nguvu ndugu na jamaa ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi
ReplyDelete