ELIGRETA RAYMOND (Mama Niwajwa).
1936 – 2011
Mama Mpendwa,Zimepita Siku, Miezi na leo hii 30.4.2012 imetimia mwaka mmoja toka tulipokupumzisha katika nyumba yako ya milele.
Ingawaje umetutoka kimwili, Kiroho bado tuko pamoja. Tunasikia sauti yako ya upole ikiita na kutufariji kama vile kuku akumbatiavyo viranga vyake. Hakika pengo ulilolicha halitazibika.
Unakumbukwa sana na watoto wako,kaka zako, wakwe zako, wajukuu wako ndugu jamaa na marafiki.
“Bwana alitoa na Bwana ametwaa"
The Raymond’s Mchani Family (Kisangara Mwanga Kilimanjaro)
safi sana mama endelea kupumzika kwa raha huko peponi,tupo sisi bado tunapambana na mafisadi, tuombee na safari hii tutawamaliza tu,maadam tuna watu kama Zitto Kabwe. Zebedayo wa Mwanza.na matangazo ya tanzia jamani yawe hivi ,mwaka wa kuzaliwa na mwaka wa kuondoka.
ReplyDelete