Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabak akimkabidhi  Meneja wa masuala ya utafiti na Mazingira wa Kampuni ya Layne  tuzo ya kuwa kampuni bora kwenye masuala ya afya na usalama kazini katika sekta ya madini kwa mwaka 2011/2012. Chini ni picha ya pamoja ya Waziri na wana Layne

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...