Mzee mzima Alex Ferguson anataka kurusha ngumi mambo yanapoenda kombo, Kocha wa Man City Roberto Mancini anamwambia acha kilomolomo babu....kama si kuamuliwa wangezipiga kavu kavu laivu.....Hahahaaa aibu!
Company wa Manchester City anafurahia baada ya kuipiga Manchester United 1-0 uwanja wa Mataa usiku huu
Kilio kwa Man U. Poleni hahahaaaaaa....
ManCity safi sana kwa kuwakong'ota hao wanaojiita mashetani wekundu!Duu!!Kufungwa noma,cheki njemba inalia.
ReplyDeleteUnapokuwa unalia wakati unatembea ni vizuri kuangalia kule unakoelekea. Huyu anlia wakati akielekea chumba cha kuvalia cha Man-City hadi mwenzie anamkumbusha kuwa yeye ni Man-United. Ovyo!
ReplyDeleteKila Kinyozi na yeye ana Kinyozi wake!
ReplyDeleteUnaweza kuwa Dakitari wa meno ukiwang'oa wenzio meno hata Madakitari wengine na siku wewe Dakitari wa Meno ukiugua 'Mshipa' italazimika umwite Dakitari Bingwa wa Mishipa aje hapo hapo kwako ili ushushwe Mshipa wako kwa Upasuaji tena bila ganzi!
MAN C-1::::::::::::MAN U-0
Kinyozi hajinyoi jombaa!
ReplyDelete"Get out of here, you let us down by failing to score even a single goal"
ReplyDeleteHa Ha Ha Haaaaaaaa.
Kinyozi kanyolewa.
Panapofikia Mzazi kukunja ngumi ukitaka kupigana ni pale Bintio uliemlea kwa gharama kubwa amejazwa 'mimba' na Mapiga debe!
ReplyDeleteManC nawapa Hi kwa kufanya lile ambalo ManU hawakutegemea- ingawa ndio mpira huo. Congrats ManC.Ichube
ReplyDeleteTehe! Tehe! Tehe!
ReplyDeleteMTAJIJU KAMA HAMLIJUI JIJI WEE ACHA TU !1!!
ReplyDelete1-0 sio kama wamesimama, huo ni pmambano mkali, kama wamesimama ni 5-0 n.k.
ReplyDeleteKumbe kufungwa kuchungu eeeh!
ReplyDeleteSio mchezo kuanguka !
ReplyDeleteMtu analia hadi anasahau na kushindwa kuiona njia ya kwenda kwenye Kambi yake ya Man U!
Rooney halii kufungwa, analia kwanini hajapewa penati leo kwani ana mkataba na marefa wa kupewa penati. Hahahahaha....
ReplyDeleteMu Italy mchezo?
ReplyDeleteHawa jamaa Ma Italiano wana asili ya 'Ubasha' mwangalie Mancini anavyomwangalia Fergie kwa dharau.
Yaani kumfunga bao 1-0 anaona kama tayari 'ameshamchapa nao' wote wote kabisa kabisa !