Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la Michezo Tanzania (BMT), Henry Lihaya
Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Andrew Kuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwi kwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) Makore Mashaga Dar es salaam Leo. Picha na Rajabu Mhamila
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...