Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu akizungumza leo na wananchi wa kijiji cha Mtunduwalo kata ya Luanda wilaya ya Mbinga kufuatia malalmiko yao ya kulipwa fidia isiyolingana na thamani ya eneo waliloachia kupisha mradi wa mgodi wa Makaa ya Mawe Ngaka.
Mkuu wa Mkoa waRuvuma Said Mwambungu akiagana na wanakijiji cha Mtunduwalo baada ya kumalizika kwa mkutano.
Mmoja wa wanakijiji Mtunduwalo John Nyimbo akitoa maelezo juu ya malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma (hayupo pichani) kuhusu kulipwa fidia kidogo ya ardhi waliyoitoa kupisha mradi wa mgodi wa makaa ya mawe Ngaka wilayani Mbinga.
Wananchi wa kijiji cha Mtunduwalo katika Kata ya Luanda wilaya ya Mbinga wakisikiliza kwa makini maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma (hayupo pichani) kuhusu malalamiko ya kulipwa fidia pungufu ya maeneo yao kupisha mradi wa makaa ya mawe Ngaka hivi leo.Picha na Revocatus Kassimba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...