Katibu Tawala Msaidizi wa Miundombinu Mkoa wa Ruvuma,Sevelin Tosi (kulia) akisalimiana na balozi wa msumbiji nchini,Mh. Amour Zakarius Kupela alietembelea mjini songea.Wa pili Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu.
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania,Mh. Amour Zakarius Kupela (kushoto) akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma,Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi,Michael Kamuhanda mjini Songea jana.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Mh. Said Mwambungu (kushoto) akitoa taarifa ya mahusiano mema kati ya Tanzania na Msumbiji kwa balozi wa msumbijin nchini,Mh.Amour Kupela ofisini kwake mjini songea jana.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii,Ruvuma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...