Home
Unlabelled
Mkwala Mbuzi unapogonga Mwamba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SABABU KUBWA SISI ATUNA SHERIA ZINAZO BANA MHUSIKA ANAYE TENDA KOSA NDIYO MAANA WATU AWAFATI SHERIA INGAWA TANGAZO LIPO LAKINI WATU WANAVUNJA UTARATIBU WANAFANYA WAO WANACHO KITA SEHEMU NYINGI DUNIANI KWA KUVUNJA SHERIA NIFAINI KUBWA LAKINI HAPA UKIVUNJA SHERIA BASI MTU ANAKUVUTA PEMBENI KUKUPATIA CHOCHOTE BASI ILO LIMETOKA
ReplyDeleteMaoni mazuri ila lugha mbovu. Mimi niongoni mwa watu wasiopenda lugha za kitoto kama ya kwako.
ReplyDeleteSesophy
Hao walioegesha angalau watakuwa wamewacheki Wasimamizi na wametoa chochote hata kama sio kiwango hicho cha Faini ya Shs. 10,000/=
ReplyDeleteEndesha kigari chako ukaegeshe bila kuwacheni wanamtandao uone, je utatoka?
Bongo Tambarale na Bongo ndiyo kama tuijuavyo !
Sheria zipo ili zifunjwe!!
ReplyDeleteUKIONA HIVYO HAPO MAGARI YA WANAO FANYA KAZI HAPO WASHAWALIPA PESA(UFISADI) WEKA GARI YAKO UONE WEWE KAMA HAIJATOLEWA UPEPO KWANZA UKITAKA KUIEGESHA UTAONA KIBESI KITACHOTOLEWA WANAJUWANA HAPO. NA HAYO MABEGI JUU YA UKUTA INAKUWAJE PALE? MTAA WA NYAMWEZI PALE DAH MITAA YA HOME.
ReplyDeleteHahahahahaahha! nimeipenda hii, wabongo noma.
ReplyDeleteNionavyo mimi kidaresalamu waliopaki hawana kosa wala tangazo halina kosa.kosa hapo ungelaumu kama hao jamaa wangepaki mbele ya tangazo yani wapaki wakiangaliana na tangazo...hicho kingekuwa kiburi.lakini kwa hao waungwana wamepaki nyuma ya tangazo kwahiyo hilo tangazo haliwahusu wao, linahusu atakaepaki nyuma ya hizo gari,yani atakaekuwa kapaki akiangaliana na hivyo vibao ndio atakuwa anavunja sheria na hapo adhabu zilizotajwa zinapaswa kumpata.hao walipaki inawezekana waliingia kiubavuubavu hawakuona hayo magangazo...hahahahaha
ReplyDelete