Home
Unlabelled
Nani kama Mama??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bravo akina mama...mnatutoa mbali siyo siri.Tunawapenda sana.!
ReplyDeleteDavid V
Pengine, ana kitoto kingine tumboni!
ReplyDeletePOLE SANA!
Hakuna mithili MAMA, katika hii dunia,
ReplyDeleteHata na awe RIKWAMA, ni "MAMA" tajivunia,
Kwa ugonjwa na uzima, wa mwanzo mfikiria,
RABI AWAJAZE MEMA, KATU CHA KUWAFIDIA.
Katu hakuna malipo, MAMA zetu wafidia,
RABI wangu mpe "PEPO", kwako keshatangulia,
Cha kumlipa hakipo, "ubani" sitochoka tia,
Siombe awe hayupo, jikhisi hujatimia.
Mungu awajaze kheri, yenye shari wepushia,
Na "Jannatu" wavinjari, wote walotangulia,
Wana tusiwe viburi, MOLA hilo twepushia,
Kama MAMA siyo siri, namba 'wani' tabakia.
Kweli hakuna na hatatokea kama "MAMA" duniani.