Tukisema anarudi maana yake ni kwamba alipotea.La!Alikuwepo akapumzika kupisha upepo uliokuwa umeweka kiza mbele yake. Sasa anaendelea tena.Namzungumzia Mr.Nice ambaye alitamba sana mwanzoni mwa miaka ya 2000 mpaka katikati hususani na style yake ya TAKEU ambayo mwenyewe mpaka leo anasema ni uvumbuzi wake mwenyewe.
Hapa anakuja kutoka FishCrab Records pale kwa Lamar akiwa amemshirikisha Barnaba ambaye kwa hakika wengi tunakubali kwamba he is the best vocalist.Sijui kama naweza kusema hili hapa lakini nadhani hapa ni almost Old school meeting New School. Wimbo unaitwa Nionje.
real nice song, hongera Mr. Nice & Barnaba.
ReplyDeleteuncle these guyz have done it better than i ever thought...nice track aisee...ila michuzi...how will these artists get their PAY if we keep on streaming their music like this...at least iwe 1 USD kwa single download jamani...
ReplyDelete