Waziri Mkuu Mizengo Pinda ( wa kwanza kulia) akizungumza na mkulima wa vikundi wa Kijiji cha Pangawe, Zarau Hemedi ( kushoto) alipokuwa akikagua shamba darasa ya mradi wa maendeleo jumuishi vijijini unaoendeshwa na Shirika la Maendeleo ya Serikali ya Korea Kusini ( KOICA) , ( wapili kutoka kulia ) ni  Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon .
 Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinga akikagua zana za kilimo za kijiji cha mfano cha kilimo cha Pangawe
Balozi wa Korea Kusini hapa nchini, Kim Young-Hoon  akikunjua kutambaa kwenye bango lililoandikwa maelezo ya mafunzo kwa vikundi vya wakulima wa Kijiji cha Pangawe , huku Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiyasoma kwa makini wakaati alipokuwa akikagua  shamba darasa ya mradi wa maendeleo jumuishi vijijini unaoendeshwa na Shirika la Maendeleo ya Serikali ya Korea Kusini ( KOICA) . Picha na John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...