Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera (kati kati walioketi) akiwa na washiriki wa warsha ya wadau wa  Bohari kuu ya madaawa Tanzania (MSD) kutoka Kanda ya Dar es Salaam,inayojumuisha Mkoa wa Pwani, Morogoro, Zanzibar na Pemba. Picha na John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...