Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva mara baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo,nchini Brazil.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo jana. Kushoto ni balozi wa Tanzania nchini Brazil Mh Francis Malambugi na wa pili kushoto ni balozi wa Brazil nchini Tanzania Mh Francisco Carlos Luz.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Rais Mstaafu wa Brazil,Mh. Luis Inancio Lula da Silva baada ya mazungumzo yao alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo,nchini Brazil jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu wa Brazil Mh Luis Inancio Lula da Silva alipokwenda kumjulia hali jijini Sao Paulo,Brazil.PICHA NA IKULU.
Kumjulia hali? Kwa utajiri gani tulio nao wa kwenda Brazil kujulia watu hali. Watanzania wa kawaida hawana hata uwezo wa kwenda vijijini kuzika ndugu zao
ReplyDelete