Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Mkuu wa Majeshi mstaafu Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Tarime, mkoani Mara leo.
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Mkuu wa Majeshi Mstaafu Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa mazishi yake huko Tarime, mkoani Mara. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...