Ibada ya Kiswahili Columbus inakuletea Semina ya Uamsho 2012 - Mei 4-6, 2012 ikiongozwa na Mchungaji Douglas na Upendo Mmari, Mwimbaji Maarufu kutoka Tanzania Flora Mbasha, Mwimbaji Maarufu kutoka Indiana Felis Mwambalo, Mwimbaji Maarufu kutoka Columbus Mchungaji Ngosso, Kwaya maarufu ya Wasabato Columbus African SDA Choir na Kwaya ya Ibada ya Kiswahili Columbus..
Itafanyika Mei 4-6, 2012,
Gethsemane Lutheran Church
35 E Stanton ave
Columbus, Ohio 43214
Tunawakaribisha wote kwenye Semina ya Uamsho itakayofanyika Columbus, Ohio wiki ijayo
Mbarikiwe wote!
Kamati ya Ibada ya Kiswahili Columbus
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...