FAMILA YA DAVID BULENGO NA EVELYNE RUGEMALILA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAO MPENDWA ISABELLA BENITA BULENGO (PICHANI) KILICHOTOKEA TEREHE 24-04-2012 KATIKA HOSPITAL YA AGA KHAN DAR ES SAALAM
HESHIMA ZA MWISHO NA IBADA YA MAZISHI VITAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI MAKONGO JUU Tarehe 28-04-2012 KUANZIA SAA TISA ALASIRINA BAADAYE MAZISHI YATAFANYIKA NYUMBANI KWA BWANA NA BIBI JAMES RUGEMALILA
ZAB:16:12 NIMRUDISHIE BWANA NN KWA UKARIMU WAKE WOTE KWANGU ALIONITENDEA
Poleni sana wafiwa, ingawa siwajui ila kama baba mwenye mtoto nimeguswa sana na msiba wa mtoto mdogo kama huyu..
ReplyDeleteShe is an angel waiting for us in heaven..
Poleni sana sana!Mwenyezi awapeni subira katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mtoto wenu mdogo mno masikini!Ni malaika wa Mungu huyo!
ReplyDeleteMPOLA MNO MNO!
Ahlam,,UK
poleni sana wafiwa katika kipindi hichi kizito sana kwenu kuondokewa ni jambo zito sana ila akiwa katika umri huu mdogo sana machungu yanazidi naelewa makali muliyonayo mwenyezi mungu awape nguvu na subra sana kipindi hichi amin,
ReplyDeletepoleni sana wazazi,nafikiria mtakuwa na kipindi kigumu sana kwa kuondokewa na mtoto wenu. Nawaombea M'Mungu awape subira katika kipindi hiki.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa, Mungu wetu hawatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
ReplyDeleteI feel for you! Sweet little girl.
ReplyDeleteShe will always be part of you! RIP!
Siwafahamu ila kama mzazi, nitawaombea mpitie kipindi hiki salama.
Uncle David and Aunt Evelyne poleni sana na mungu awape moyo wa utulivu na amani. Si rahisi kukubali hali hii kutokea kwa mdogo wetu ila mungu ndie mpangaji ya yote. Yeye Isabella atatuandalia pazuri tukimfuta. Pia wazazi wetu waliotangulia wamempokea vizuri tu. Amina. Mpwao(JK), Ottawa, Ontario, Canada.
ReplyDeleteR.I.P little Angel.
ReplyDeletePoleni sana jamani. Mungu awapatie faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi!
ReplyDeleteBaba Isabelle
...Kwa mapenzi yake Mola, Roho ya Marehemu Isabella ipumzike kwa amani.
ReplyDeletePoleni sana wazazi na ndugu wa marehemu.
Tumtangulize Yesu katika majonzi yetu; tukumbuke maneno yake kwamba "waacheni hao watoto wadogo waje kwangu"
Naamini siku moja tutakutana na mtoto wetu Isabella katika Ufalme wa Mungu.
..Raha ya Milele uumpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele mwaangazie;
Isabella pumzika kwa Amani,
Amina.
my condolences to the family of the lovely little angel. gone to soon.
ReplyDeletemungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu
Ninaelewa kila nafsi iliyo hai itaonja mauti,ila kwa kuondokewa ma malaika kama huyu ni jambo gumu mno,nawaombea kwa mungu mwenye heri awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu ktk maisha yenu.
ReplyDeleteDavid and Eve poleni and please be courageous under Christ our Lord. May her soul rest in eternal peaceAmen
ReplyDeleteDear Evelyne & David,
ReplyDeletePlease accept my sincere Condoleance for the Loss of your Little angle. May Her Soul Rest In Erternal Peace.
& God Give you guys strenght to go through this testing period!
1Peter 5: 9-11
"And the God of all grace, who called you to his eternal glory in Christ, after you have suffered a little while, will Himself restore you and make you strong, firm and steadfast."
XOXO....Barbara,Arusha
Heartfelt Condolences to the family..Rest in Peace Isabella
ReplyDeleteamepatwa na nini huyu malaika wa mungu jamani!alikuwa akionesha mavazi anayobuni mama yake daaah!MUNGU AILAZE ROHO YA MALAIKA HUYU MAHALI PEMA PEPONI.pole na dada EVE na baba wa mtoto
ReplyDeleteWapendwa Poleni sana, najiweka katika nafsi zenu, na kuhisi machungu mlionayo. Jipeni moyo na kuzidi kushikamana tukimuombea, ili nasi siku ikifika tuungane naye. Muwe na Imani yu amepumzika kwa amani. Mungu Baba huwa anakusudio lake kwa kila jambo. Apumzike kwa amani. Poleni sana na Mungu awatie nguvu!
ReplyDeletePoleni sana wafiwa.She was still young....Mna masikitiko makubwa sana.Najua wazazi tunavyowapenda sana watoto wetu.RIP 'Sabella'
ReplyDeleteDavid V
MMHH!! POLENI SANA JAMANI YAANI KAMA MAMA..NIMESOMA HII HABARI NA KUANGALIA PICHA YA MTOTO TUMBO LIMENIKATA, NIMESHINDWA KUVUMILIA MPAKA MACHOZI YAMENITOKA..POLENI WAFIWA.
ReplyDeletePoleni sana ndugu wapendwa kwa kuondokewa na mtoto wenu mpendwa. Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu cha majonzi. Kama binadamu ni rahisi kuhoji ni kwa nini lakini tumwache Mungu aitwe Mungu maana kazi yake haina makosa. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwi. Na Mungu wetu wa Upendo ailaze roho yake mahali pema peponi tukitumaini tutafutwa machozi na siku ya mwisho tutamwona tena mpendwa wetu.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. R.I.P little Isabella Benita. Bwana ametoa. Bwana ametwaa. Very sad jamani.
ReplyDeletePoleni Sana sana wafiwa. Inauma sana sana kwa wazazi kumzika mtoto tena mwenye umri mdogo kama huu. Mungu aliyewapa mtoto huyu basi atawatia nguvu na Neema ili muweze kupokea uchungu huu Mkubwa.
ReplyDeleteShe is an angel is the heaven singing HALELUYAH and praying for us.
OMG Life oh Life such a cute girl gone way too young RIP God be with your family at this time
ReplyDeletePoleni wafiwa mtoto anauma ila ni kazi ya Mungu haina makosa mlipenda ila yeye kampenda zaidi, muombeni Mungu awaepushe na jaribu kama hili, awatie nguvu na roho ya uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeletePoleni san
POLENI SANA MWENYEZI MUNGU AWAPE NGUVU..LALA SALAMA MALAIKA WA MUNGU.
ReplyDeleteRIP Binti,nashindwa kuamini.najiuliza kwanini imekuwa hivi.Inauma sana kupoteza mtoto mdogo,Poleni mno mama na Baba wa huyo mtoto.
ReplyDeletemdau Norway
Mungu awatie nguvu Baba na Mama wa mtoto huyu. Nimesikitika sana na nikawa nalalamika mbona she's too young to die lakini nikafarijika baada ya kukumbuka kuwa Mungu amempenda zaidi Issabela na ndo maana ameamua kumita kwenye ufalme wa milele. R.I.P Issabela
ReplyDeleteWilly-Udsm
poleni sana baba na mama wa mtoto isabella mungu hailaze roho yake mahari pema peponi ameena
ReplyDeleteMungu awatie nguvu wafiwa, she is so beutiful, oh RIP my beloved daughter, poleni tena. Nawaombea kwa Mungu awawezeshe msije mkawaza kinyume na mapenzi ya Mungu
ReplyDeletePoleni sana wafiwa,Beatufil Isabela, May your Soul Rest In Peace.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa,Beatufil Isabela, May your Soul Rest In Peace.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa, mimi kama Mama mzazi nimeguswa sana na huu msiba. Poleni sana. She is such an Angel. Siwafahamu lakini naomba Mungu awatie nguvu sana!! Haya yote ni mapenzi ya Mungu, beiieve.
ReplyDeletepoleni sna dada evelyne namkumbuka sana Isabela kwa ucheshi wake ila yote ni mapenzi ya mungu
ReplyDeleteBWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE AMEN
poleni sanaaa Dav na Eve it's hard to believe that she is gone!!!!RIP Isabella.
ReplyDeleteShe is too young to die, as a mother I feel the pain you feel. Mungu awatie nguvu wafiwa, and may her soul rest in peace
ReplyDeletesalam maria umejaa nema bwana yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na yesu mzaa wa tumbo lako amebarikiwa, maria mtakatifu mama wa mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu amina.
ReplyDeleteSHE IS A PRINCESS!!!
LOVELY SMILE.
Mdau Croydon
UK
I receioved these shocking news while in Lusaka. Failed to comprehend and believe this sweet girl and a parishner of St. Peters with her mum Evelyn has just rested. I am just disturbed by the images of her entering the church with her mother and at times running to be part of children submitting ' offerings ' to the ALTER !
ReplyDeleteI am just devasted and short of words.
Evelyn take courage and be strong in the Lord.
Will for sure miss her but I am convinced she is resting and enjoying in the eternal haeavenly realm.
Fellow Parishner