Taswira ya baadhi ya sehemu za hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge, Arusha, kama ilivyoshuhudiwa wikiendi hii na Globu ya Jamii. Hoteli hii, iliyo nje kidogo ya jiji la Arusha ni maarufu kwa mikutano ya kitaifa na kimataifa. Kwa maelezo yake nenda kwenye libeneke lao http://www.thengurdotomountainlodge.com/
Home
Unlabelled
taswira za Ngurdoto Mountain Lodge, Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...