Home
Unlabelled
Usafiri wa Daladala jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli swala la usafiri Dar ni tatizo kubwa; mie nashauri kwamba mfano mie nafanya kazi maeneo Posta na ninaishi mwenge. Kuna wakati kulikuwa na mabasi yanakuja unalipa shilingi 500/= au 1000/= mpaka mwenge achia mbali yale ya kawaida yalopigwa mstari wa bluu ambayo ni shida kuyapata na yakija shurti uwe na msuli wa nguvu uweze kupanda ya shilingi 300/=.
ReplyDeleteNashauri wahusika waruhusu haya mabasi na kila mwananchi ajiangalie mfuko na wakati wake wa kuchagua basi gani la kupanda hasa kwa ule muda wa kutoka makazini. Siku hizi kuna hati Noah zina ibia ibia na ikitokea kutokana na shida watu tunapanda ili tuweze kufika majumbani kwetu kabla watoto hawajalala.
Mbezi Mwisho pia ni Mbagala?
ReplyDeleteImejengeka dhana potofu kuwa shida ya mabasi na Usafiri hapa Jijini Dar ipo Mbagala tu kitu ambacho kwa sasa sio kweli !
This is the thing I don't miss about Bongo. We really need to improve our transportation system. It is a shame.
ReplyDeleteNa migari ilivyojazana DAR bado usafiri ni mgumu kama enzi za UDA?
ReplyDeleteKwa nini Watu wote wang'ang'anie kuishi DAR kama mambo yenyewe ndo hivi? No maji, No Umeme no usafiri wa uhakika.
Mbagala sasa hivi mambo yao supa na mswanu - mbagala sasa imehamia Mwenge - lolo
ReplyDelete