Kamishna Ali Abadalla Malimussa kushoto akionesha kifaa kipya cha kuzimia moto kijulikanacho kama DSPA 5 kutoka kwa askari wa kikosi cha Zima moto na uokozi katika hafala ya uzinduzi wa kifaa hicho Maisara mjini Zanzibar
  Mkurugenzi wa mtendaji wa Kampuni ya Your Solution Tanzania LTD Damian George kushoto akimkabidhi kivaa kipya DSPA 5 Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Zanzibar Issa Haji Gavu katika hafla ya uzinduzi wa kifaa hicho Maisara mjini Zanzibar

Bw Frans Volgelzangs ambaye ni mtaalamu wa Kampuni ya AFG inayozalisha kifaa kipya cha kuzimia moto ania ya DSPA5 akitoa maelezo jinsi ya kukitumia kifaa hicho. Picha zote na Iddi Haji-Maelezo Zanzibar
JINSI KIFAA HICHO KINAVYOFANYA KAZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nani atakuwa anakibeba? hao wazima moto? c ndo watachelewa kwa visingizio vingi? Au kitakuwa kinauzwa madukani kama bidhaa zingine?

    ReplyDelete
  2. good idea lakini hicho kifaa kinatumika mara ngapi kwa kila tukio na tutaweza kuvimudu au ndio mpaka misaaada!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...